Asili na Tamaduni: Jamii ya Wamaasai yendelea kudumisha mila na desturi
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Jamii za wafugaji wa kuhamahama zimekuwa zikitangamana na wanyamapori bila kudhuriana. Kutokanaka na umagharibi nyingine zimebadili mila na desturi zao na kufuata mifumo ya kisasa.Hata hivyo, jamii ya wamaasai imedumisha desturi zake za tangu kale, na imekuwa kitambulisho cha mkenya halisi ulimwenguni kote. Hayo yamewezekanaje? Jibu ni katika makala ya leo ya Asili na Tamaduni.