У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Muigizaji na Muongozaji wa Filamu Hapa Nchini Daudi Michael Maarufu Kama Duma amesema kuwa, serikali inatambua mchango wake na ndio maana hata leo kwenye uzinduzi wa Movie yake mpya inayoitwa NIPE CHANGU Mheshimiwa Naibu Waziri wa Habari, Tamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza aliweza Kuhudhuria
Duma amesema pia alichokifanya kimedhihirisha na kinaonesha kuwa sasa Watanzania wanamuamini na wamembebesha mzigo kwa kuwakilisha Industry ya Bongo Kwa Upande wa Movie Kimataifa Zaidi.