У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Kofi Annan amefariki lakini anakumbukwa na watu waliofanya kazi naye hususan nchini kenya alipokuwa msuluhishi mkuu wa mzozo wa baada ya uchaguzi.
Lakini je kabla ya amani hiyo kupatikana wahusika wengine walichangia vipi amani hiyo?
Miongoni mwa waliofanya kazi ya annan wanajumuisha marais wastaafu wa tanzania Jakaya Mrisho Kikwete na Benjamin Mkapa. Si hao tu wapo waliojaribu kutafuta amani wakati huo.
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.