Friday, 17 July, 2026г.
russian english deutsch french spanish portuguese czech greek georgian chinese japanese korean indonesian turkish thai uzbek

пример: покупка автомобиля в Запорожье

 

JuaCaIi - Kuna Sheng (Official video)

JuaCaIi  - Kuna Sheng (Official video)У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Produced by Kanyeria | Video by Boomba | ©2013 Calif & Bernsoft To comment click on this link below: https://www.facebook.com/pages/Jua-Cali KUNA SHENG LYRICS Ah! Kanyeria, Juacali ehhhhhh! CHORUS LYRICS: Kuna sheng ya Calif lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Buru lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Dandora lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Okongo lakini si wote tunaelewana VERSE 1 LYRICS: Wagondi siku hizi wanaitwa madingo Kutoka chwa ni kutoka mbio Nikikuitisha ing'ang'a nakuitisha soo moja Nikikuambia nitege nakuambia we ngoja Unashtuka nini wacha kujitisha Kutia blunder nikuji ingiza Nikiongea na wewe poa nakuskiza Kupigwa na makarau ni kuvaliwa Unajaribu kupiga simu nangos haina kitu Chali yangu umechar hauna kitu Baadaye tunakuona umebambwa kwa mbulu Kushare kitu ni sulu bin sulu CHORUS LYRICS: Kuna sheng ya Easich lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Kibich lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Emba lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Marish lakini si wote tunaelewana VERSE 2 LYRICS: Manzi msuper anaitwa mtoto Manzi wa udu nae ni ong'ong'o Ukiachwa mataani umetokwa Kuingiza ma winch mingi nikuomoka Ukiitwa dwanzi nika umeitwa fala Kuvurugwa nikulazimishwa kuhama Kitu noma sana ni mambo mbaya Kwanza ka zile chuja ulikua umevaa jana Kuwa mpole mtu wangu ni sifa tu Nakutoshanisha nakupima tu Punguza caki mzee utafiatuka Kitu inatee ni kitu inanuka CHORUS LYRICS: Kuna sheng ya Ongwaro lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Pango lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Salem lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Ungem lakini si wote tunaelewana VERSE 3 LYRICS: Mungu mtaani si umuita Sir Jah Kutia ndani nikumanga Kuenda shughli nikuenda mraa Nikikutia zii mambo yako nimekata Uko chini chali yangu umechapa Juzi ulikua mtu wa nguvu mtu wa maana Kwani haujui chali yangu hauna copy Nikikwama mahali nika nakuambia sitoki CHORUS LYRICS: Kuna sheng ya Baha lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Jeri lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Bangla lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Korogocho lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Westi lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya L.A lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Githurai lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Mada lakini si wotw tunaelewana Ehhhh Siezi sahau watu wangu wa Eldi Eehhhh Siezi sahau watu wangu wa Nakuru (watu wa nguvu) Eehhhhh Sheng ya Kisumu (ni noma sana) Sheng ya Mombasa (mambo mbaya) Sheng ya Thika (noma sana) eehhh Au sio (au ndio) Ha ha ha ha... Ehhh TUGENGE YAJAYO Kanyeria, Juacali GENGE Au sio...
Мой аккаунт