Friday, 28 August, 2026г.
russian english deutsch french spanish portuguese czech greek georgian chinese japanese korean indonesian turkish thai uzbek

пример: покупка автомобиля в Запорожье

 

Jukwaa la KTN: Ugonjwa usiojulikana waua watu wanane eneo bunge la Tiaty

Jukwaa la KTN: Ugonjwa usiojulikana waua watu wanane eneo bunge la TiatyУ вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Habari zinazotufikia kutoka eneo bunge Tiaty ni kwamba ugonjwa ambao haujulikani umewaua watu wanane katika kijiji cha Lodeng'o kata ya Kolowa. Ugonjwa huo ambao dalili zake ni kuharisha, kutapika, maumivu ya tumbo umesababisha hofu katika sehemu hiyo muuguzi mkuu wa kituo cha afya cha Lodeng'o Clara Lotuw akidokeza kwamba sampuli za chembechembe zimepelekwa kwa uchunguzi maabarani SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Мой аккаунт