У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Aghalabu maisha ni kitendawili na kila mmoja ana mbinu zake za kujitafutia riziki. Katika mji wa Eldoret, jamaa mmoja mwenye umri wa makamo kwa jina Ronald, amejizatiti kupiga gitaa kuwatumbuiza wapita njia angalau wampe kitu wakiridhika. ronald aliamua kumtupa jongoo na mti wake wa kuomba omba na kutumia talanta hii icha ya kwamba yeye hana uwezo wa kuona