MLINGA ACHACHAMAA NA DNA ,KINA BABA WANALEA WATOTO SIO WAO
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Mbunge wa Ulanga CCM, Goodlack Mlinga leo wakati akiuliza swalli la nyengeza bungeni amesema serikali haioni haja ya kuruhusu mtoto anapokwenda clinic kwa mara ya kwanza kupimwa DNA ili kuepusha vitendo vya ubambikizaji wa watoto kwa wanaume na kuleo watoto siio wao