У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Inadaiwa mpangaji huyo aliyemchana mwenzake,ni Mgeni katika Nyumba hiyo na kipindi anahamia aliwaambia wenzake kwamba hapendi mazoea na mtu yeye wala Mtoto wake watu wasimzoee. Sababu za kumchana mpangaji mwenzake ni baada ya Mgeni wake kuvaa kandambili za mpangaji mwengine baada ya huyo mwenye kandambili zake kuuliza ndipo akaambiwa amevaa Mgeni wa huyo mpamgaji aliyesema hataki mazoea na watu. Hapo ndipo tibwili lilipoanzia ambapo bidada alipaniki kwakuambiwa kwanini Mgeni wake avae kandambili za watu wakati yeye alishasema hataki mazoea na watu.Hapo ndipo hasira zikampanda nakuanza kumshambili kwa kisu... -Video Upload powered by https://www.TunesToTube.com