Msimamo wa Simba uliyotolewa leo kuhusu point 3 vs Kagera Sugar
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Siku moja baada ya kamati ya haki na hadhi za wachezaji kukaa kikao na kujadili mambo mbalimbali ikiwemo suala la Simba kupewa point tatu dhidi ya Kagera Sugar kwa madai ya kumchezesha mchezaji Mohamed Fakhi akiwa na kadi tatu za njano, leo Simba wametoa msimamo wao juu ya suala hilo.