RAIS MTAAFU BENJAMINI MKAPA NA WANAHABARI APRIL 08/2015
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Rais wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa akifanya mazungumzo na wanahabari April 08/2015 jijini Dar es salaam katika eneo la chuo cha taifa cha ulinzi wakati alipohudhulia katika mdahalo na wanachuo wa chuo hicho.Katika mazungumzo yake na wanahabari baada ya mdahalo huo wanahabari walitaka kujua ni kitu gani kimemsukuma kufanya mdahalo huo.Sikiliza ujumbe huo katika video hii hapo juu.