Monday, 10 August, 2026г.
russian english deutsch french spanish portuguese czech greek georgian chinese japanese korean indonesian turkish thai uzbek

пример: покупка автомобиля в Запорожье

 

Salama Na Lil Ommy Ep 1 | Air Tabora Part 1

Salama Na Lil Ommy  Ep 1 | Air Tabora Part 1У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
#YAHStoneTown #LilOmmy #SalamaNa Salama Na Lil Ommy | AIR TABORA 2016 ndo mwaka nilikuatana na Lil Ommy mara ya kwanza, pengine nilishwahi kukutana naye huko nyumba ila sikumbuki. Aliniomba niende kwenye kipindi chake cha The Playlist enzi hizo kikiwa Jumamosi asubuhi ya tarehe 20 mwezi wa nane. Sikuwahi kupenda kufanyiwa interview ila siku hiyo nilimpa Ommy nafasi, sikuwahi kujutia na pengine hiyo ndo sababu ya kumfanya yeye awe mgeni nambari moja mwenge Podcast hii. Anayejitambua, anayejituma, anayesoma, mwenye nia na mipango endelevu… Nilimuomba aje na hapa tulizungumza karibia yote. Ya kwao Tabora, familia yao, marehemu Mzee wake, marehemu Dada yake, ndugu zake wa kambo, utundu wa udogoni, kutafuta kazi, maisha ya mjini na marafiki, muziki wa kizazi kipya na ushindani wa kazi. Times FM na siku ya harusi yake. Na hakua mchoyo wa kunikhadithia. Hii ni kwa ajili yako, na nyengine nyingi zijazo zinakuhusu pia. Chukua baadhi ya kurasa kwenye kitabu cha AIR TABORA na tumia baadhi ya aliyoyoyasema kuboresha kitabu chako maana nami nafanya hivyo. Enjoy. Love, Salama. Follow: Twitter: http://twitter.com/YahStoneTown Instagram: http://Instagram.com/YahStoneTown Facebook: http://facebook.com/YahStoneTown
Мой аккаунт