Tembea Kenya: Maji ya ziwa Bogoria inavvyotumika katika vidimbwi Baringo
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Katika makala ya Tembea Kenya jumamosi hii mwanahabari Agnes Penda alitembelea kaunti ya Baringo na kubaini kwamba mito na vidimbwi vya maji moto ni kawaida katika sehemu za bonde la ufa nchini kenya lakini katika kaunti hii ya baringo hoteli moja eneo hili imeyakusanya maji moto kutoka ardhini ili kutumiwa katika kuogelea . Maji hayo yana uwezo wa kuponya maradhi kwenye mifupa kulingana na wenyeji SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.