Ufisadi Kenya Power: Maafisa wandamizi wazuiliwa polisi
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Mtego wa makachero wa kitengo cha uchunguzi wa jinai umewanasa maafisa waandamizi wa kampuni ya usambazaji umeme nchini, Kenya Power wanaodaiwa kuhusika na visa vya ufisadi. Zaidi ya maafisa watano wandamizi wa kampuni hiyo wanazuiliwa polisi huku watuhumiwa zaidi wakiendelea kujisalimisha.