UTEKAJI: Mtoto katekwa geitini Mwanza, mtekaji adai MILIONI 3
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Hii inaweza kukufanya uchukue na tahadhari zaidi maana yanatendeka matukio ambayo hatujazoea kabisa kuwa nayo mtaani, huko Mwanza kuna mtoto katwekwa geitini kisha Mtekaji akadai anataka milioni 3.