У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Wanafunzi watatu wa Chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) wa mwaka wa tatu wanaosoma masomo ya bima wamepatiwa ufadhili wa ada ya masomo wa takribani milioni 4.5 na wakala wa bima Metropolitan kupitia TIBA kwa muda wa mwaka mmoja.