У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Anafahamika na wengi kama mchungaji au mhubiri...wakaazi wa Gachoka nao wanamtambua kama mwakilishi wao bungeni; na hivi majuzi aligonga vichwa vya habari pale alipojitokeza hadharani na kutangaza nia yake ya kuwania kiti cha urais ifikapo mwaka wa 2012...tunayemzungumzia si mwengine bali ni kasisi Mutava Musyimi anayetufungulia pazia kuhusu maisha yake. Mwanahabari, zawadi mudibo, na taarifa zaidi.