Sunday, 09 August, 2026г.
russian english deutsch french spanish portuguese czech greek georgian chinese japanese korean indonesian turkish thai uzbek

пример: покупка автомобиля в Запорожье

 

Jamaa Amua Mume Aliyepatikana Na Mkewe

Jamaa Amua Mume Aliyepatikana Na MkeweУ вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Wanaume wawili wameuawa katika mtaa wa kariobangi south hapa nairobi kwa kile kinachotajwa kuwa ni kutokana na mgogoro wa kimapenzi. Yadaiwa mwanamume mmoja alimkuta aliyekuwa mkewe kwani walikuwa wametalikiana akiwa na mwanamume mwingine, alipokuwa akimpelekea pesa za matumizi ya mwana waliyekuwa wamezaa naye. Mzozo ukaanza kati ya wanaume hao kabla ya mwanamume aliyepatikana chumbani kuchukua kisu na kumdunga na kumuua mwenzake. Umati wa watu ukafika na kumuua mwanamume muuaji huku polisi wakimnusuru mwanamke huyo kutokana na ghadhabu za umati huo.
Мой аккаунт